Tafsiri huwa na dhima zifuatazo
i) Kurahisisha mawasiliano kwa watu au wanajamii wanaotumia lugha mbili tofauti.
ii) kukuza lugha baina ya wanajamii wanaosoma tafsiri hizo.
iii) Kukuza msamiati wa lugha lengwa.
iv) Tafsiri ni chanzo cha ajira.
v) huweza kuwa kiliwazo cha nafsi kwa mtu anayetafsiri.
KWA SOMO LA KISWAHILI
No comments:
Post a Comment
syliverymanyama@gmail.com