Flower
Flower

Thursday, October 5, 2017

Viwango vya miundo ya kisarufi;


a) Fonolojia,
Hushughulika na mfumo wa sauti ktk lg
Viambajengo vyake vya msingi ni ;
Kiimbo, lafudhi, foni, mkazo, silabi fonimu nk.
b) Mofolojia
Hushughulika na maumbo ya maneno na aina za maneno
Viambajengo ktk tawi hili ni; mofu, mofimu, na alomofu.
Kwa mfano ktk kuangalia nomino tunaangalia ngeli za majina,
Mfano mw+anafunzi
c) Sintaksia
Hushughulika na mpangilo wa maneno ktk tungo, pamoja na sheria na taratibu zinazohusika na mpangilio huo.
Hapa kiambajengo cha msingi ni neno.
d) Semantiki
Hushughulika na maana za tungo mbalimbali, ikumbukwe kuwa semantiki ni tawi ambalo hugusa viwango vyote vya sarufi.

No comments:

Post a Comment

syliverymanyama@gmail.com

AddToAny