UKUMUSHAJI
Ni ile hali ya neno kuongeza sifa au taarifa muhimu kuhusu nomino,kiwakilishi, ama aina nyingine za maneno
Kikumushi huhusisha aina za maneno yaliyo zaidi ya kivumishi
Huhusisha pia viwango vingine kama; virai na vishazi
Kwa mfano;
Baba wa taifa
Mchezaji aliyeshinda jana
UBAINISHAJI
Ni ile hali ya neno au maneno kutambulisha maneno mengine, hutoa taarifa zaidi juu ya kitendo au mtenda
Kwa mfano
Huyu anakula
Mtoto yule anakuja
KWA SOMO LA KISWAHILI
No comments:
Post a Comment
syliverymanyama@gmail.com