Flower
Flower

Thursday, September 14, 2017

Basi la Mwendokasi limepata ajali Asubuhi hii


Mapema leo September 14, 2017 imetokea ajali ambapo basi la Mwendokasi liligongana na gari ndogo aina ya Toyota katika maeneo ya Barabara ya Shekilango, Ubungo Dar es Salaam.






No comments:

Post a Comment

syliverymanyama@gmail.com

AddToAny