Mbwana Samatta anatajwa kwenda kumrithi Robin van PersieByRama Mwelondo TZAonApril 18, 2017ShareHeadlines za usajili barani Ulaya zimeanza kuchukua nafasi wakatihuu ambao Ligi Kuu mbalimbali barani humo zinakaribia kumalizika, mshambuliaji wa kimataifa waTanzaniaMbwana Samattaameanza kuhusishwa naFenerbahceyaUturuki.Mbwana Samattaambaye kwa sasa anaichezeaKRC GenkyaUbelgijiameanza kuhusishwa na club hiyo kutokana na uwezo wake licha ya kuwa maamuzi hayo ya Fenerbahceyanatajwa kushangaza wengi, Fenerbahcekwa sasa wanatafuta mbadala wamshambuliaji waoRobin van Persieambaye anaonekana kuchoka.Samattaambaye ana umri wa miaka 24 anatajwa kutazamiwa na FenerbahcekumrithiRobin van Persiealiyewahi kuvichezea vilabu vyaArsenalnaManUnitedyaEngland, wachezaji wengine wanaotazamiwa na Thomas Bruns,Theo BongodanaRidgeciano Haps.CHANZO CHA HABARI HII:mwananchi.co.tz
KWA SOMO LA KISWAHILI
No comments:
Post a Comment
syliverymanyama@gmail.com