MSICHANA: Baby Naomba Unisaidie Pesa Nikaweke Vizuri Nywele Zangu Naona Haziko Sawa(Jamaa Akazama Mfuko Akachomoa Noti Kadhaa Za Elfutano tano Na Kumpatia Msichana)
JAMAA: Baby Japo Najua Pesa Hiyo Ni Kidogo Ila Ukiipangilia Vizur Inaweza Kukutosha
(Msichana Baada Ya Kuzihesabu Na Kukuta Zipo 100,000/- Akachukua 15,000/- Halafu Ile 85,000/- Iliyobaki Akamrudishia Jamaa Kisha Akasema:)
Baby Hii 15,000/- Inanitosha Hiyo 85,000/- Utaitumia Kwa Mambo Mengine,
Hupaswi Kuanza Kutumia Pesa Nyingi Kwaajili Yangu Sasaivi Ila Utakapokuwa Umenioa Ndipo Utapaswa Kufanya Hivyo.
*Nikaamka kwa mshtuko kwani kwa uzoefu wangu wote sijawahi ota ndoto yakutisha kama hii*
No comments:
Post a Comment
syliverymanyama@gmail.com